Game To Double ni mchezo wa pesa halisi. Endapo utapoteza, pesa zitadondolewa kwenye akaunti yako ya 22bet. Ukishinda, dau linaongezwa maradufu na fedha za ushindi zinawekwa kwenye akaunti yako.
Teua jukumu lako – Mlindalango au Fowadi.
Ukichagua kuwa mlindalango unahitaji kuteua upande wa kuruka ili kuokoa mpira – "kushoto" au "kulia".
- – Ikiwa mpira umezuiwa dau la mteja linaongezwa maradaufu.
- – Ikiwa mlindalango atakosa mpira mteja anapoteza dau.
Ukichagua kuwa fowadi unahitaji kuteua kona ya lango ya kupiga mpira kwayo – "kushoto" au "kulia".
- – Ikiwa mpira umezuiwa mteja anapoteza dau.
- – Mlinda lango akipoteza mpira daua la mteja linaongezwa maradufu.
Malipo ya juu zaidi ni roubles 100,000.